Muungano wa Wakimbizi wa Australia umejitolea kukupa huduma bora na sera hii inaeleza wajibu wetu wa mara kwa mara kwako kuhusu jinsi tunavyodhibiti Maelezo yako Binafsi. Tunafuata Kanuni za Faragha za Australia (APP, Australian Privacy Principles) zinazopatikana katika Sheria ya Faragha ya 1988 (Cth) (Privacy Act). NPP inasimamia jinsi tunavyokusanya, kutumia, kufichua, kuhifadhi, kulinda na kutoa Maelezo yako Binafsi. Nakala ya Kanuni za Faragha za Australia inaweza kupatikana kwenye tovuti ya Ofisi ya Mkuu wa Habari wa Australia (The Office of the Australian Information Commissioner) katika https://www.oaic.gov.au/.
Maelezo Binafsi ni nini na kwa nini tunayakusanya?
Maelezo Binafsi ni maelezo au maoni yanayomtambulisha mtu. Mifano ya Maelezo Binafsi tunayokusanya inajumuisha majina, anwani, anwani za barua pepe, namba za simu na faksi. Maelezo haya Binafsi hupatikani kwa njia nyingi ikijumuisha kupitia [mahojiano, mawasiliano, kwa simu na faksi, kwa barua pepe, kupitia tovuti yetu www.yourbusinessname.com.au, kutoka kwenye tovuti yako, kutoka kwenye vyombo vya habari na machapisho, kutoka kwenye vyanzo vingine vinavyopatikana hadharani, kutoka kwenye vidakuzi- futa vyote ambavyo havitumiki] na kutoka kwa washirika wengine. Hatukuhakikishii kuhusu viungo vya tovuti au sera ya washirika wengine walioidhinishwa. Tunakusanya Maelezo yako Binafsi kwa kusudi kuu la kukupa huduma zetu, kuwapa habari wateja wetu na matangazo. Tunaweza pia kutumia Maelezo yako Binafsi kwa makusudi mengine yanayohusiana zaidi na kusudi kuu, katika hali ambapo unaweza kutarajia ipasavyo matumizi na ufichuzi huo. Unaweza kujiondoa kwenye orodha zetu za wapokeaji wa barua pepe/matangazo wakati wowote kwa kuwasiliana nasi kwa maandishi. Tunapokusanya Maelezo Binafsi, panapofaa na panapowezekana, tutakueleza kwa nini tunakusanya maelezo hayo na jinsi tunavyopanga kuyatumia.